![]() |
| Wajumbe wakifatilia kwa makini mkutano wa uchaguzi huo |
![]() |
| Kutoka kushoto ni Cynthia Mwilolezi(Nipashe)Janeth Mushi(Jambo Leo)na Jane Edward (Majira) |
![]() |
| Mkongwe wa Habari Leo jijini Arusha,John Mhala na Mwandishi hodari wa gazeti la Uhuru,Lilian Joel wakifatilia mkutano |
![]() |
| Claud Gwandu akiomba wanachama wenzake wamchague tena kuongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitatu katika nafasi ua Mwenyekiti ambayo aliibuka mshindi |
![]() |
| Mwandishi wa Nipashe na Radio One,Charles Ole Ngereza akiomba kura katika nafasi ya Makamu mwenyekiti |
![]() |
| Mgombea nafasi ya Mwekahazina,Pamela Mollel(Majira)akiomba kura kwa mbwembwe nyingi |
![]() |
| Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi ambaye ni mjumbe wa Bodi ya UTPC na Mwenyekiti wa Mwanza Press Club,Deus Bugaywa akikusanya kura |











إرسال تعليق