Pages

May 27, 2013

MTUHUMIWA WA BOMU AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Mtuhumiwa wa kesi ya kulipua Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi,Parokia ya Olasiti ,Ambrose Calist amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Arumeru leo mbele ya Hakimu Mkazi,Devotha Kamuzora

Shauri hilo limetajwa na kuhahirishwa hadi Juni 10 mwaka huu katika mahakama hiyo huku akiwa amefunika uso akiwa amezungukwa na watuhumiwa wengine

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...