![]() |
| Afisa Ugani wa Kata ya Ilunda,wilaya mpya ya Mkalama mkoa wa Singida,Augenia Minja akizungumza jambo kwenye shamba la mkulima wa Mtama kwenye Kijiji cha Ilunda |
![]() |
| Wakulima katika Kijiji cha Ilunda,Kata ya Ilunda wilaya ya Mkalama wakiwa kwenye shamba la Mtama uliostawi vizuri |
![]() |
| Kilimo cha Ulezi pia kinastwi vema |






إرسال تعليق