Pages

May 2, 2013

KAMPUNI YA MBEGU YA SEED CO TANZANIA LTD IMETOA MSAADA WA MBEGU ZINAZOKOMAA KWA MUDA MFUPI ZA MAHINDI NA MTAMA ZENYE THAMANI YA SH 4.8 MILIONI KWA WAKULIMA WA WILAYA YA HAI,MKOA WA KILIMANJARO AMABO MASHAMBA YAO YALIKUMBWA NA MAFURIKO


Meneja Masoko wa Seed Co Tanzania Ltd akizungumza jambo kuhusu ubora wa mbegu zao kabla ya kumkabidhi Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Novatus Makunga

Meneja Masoko wa Seed Co Tanzania Ltd,Frank Wenga  na Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Novatus Makunga akizungumza jambo kuhusu ubora wa mbegu zao kabla ya makabidhiano 

Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Novatus Makunga akimsikiliza Meneja Masoko wa Kampuni ya mbegu ya Seed Co,Frank Wenga kabla ya kukabidhi mbegu za msaada kwa wakulima wa wilaya hiyo
 

Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Novatus Makunga(kushoto) akipokea sehemu ya msaada wa mbegu kutoka kwa  Meneja Masoko wa Kampuni ya mbegu ya Seed Co,Frank Wenga 

Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Novatus Makunga akiishukuru kampuni ya Seed Co iliyotoa msaada wa mbegu kwa wakulima wa wilaya hiyo kulia ni  Meneja Masoko wa Kampuni  hiyo,Frank Wenga

Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Novatus Makunga(kushoto) akangalia alama za ubora kwenye mfuko wenye mbegu za Seed Co ili kutofautisha na mbegu bandia anayemuonesha ni  Meneja Masoko wa Kampuni ya mbegu ya Seed Co iliyotoa mbegu za msaada kwa wakulima wa wilaya hiyo

Meneja Masoko wa Seed Co Tanzania Ltd,Frank Wenga  akifurahia jambo na Meneja Masoko wa kampuni mkoa wa Morogoro,Andrew Ngowi baada kukabidhi msaada wa mbegu  wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro 

Mwandishi wa habari aliyeshinda tuzo ya mwandishi bora za Kilimo mwaka 2012,Zephania Ubwani(kulia)akiuliza swali kwa Meneja Masoko Frank Wenga(kushoto) anayeshuhudia katikati ni Meneja Masoko mkoa wa Morogoro,Andrew Ngowi

Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Novatus Makunga(kushoto) akipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa Meneja Masoko wa kampuni ya mbegu za Seed Co mkoa wa Morogoro,Andrew Ngowi.

Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Novatus Makunga(katikati) akipokea moja tshirt kutoka kwa Afisa Mauzo wa Kanda ya Kaskazini,Daniel Ulimboka baada ya kukabidhi msaada wa mbegua kwa wakulima wa wilaya hiyo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...