Pages

May 2, 2013

VYAMA MBALIMBALI VYA WAANDISHI WA HABARI NA WADAU WAKUTANA KUWEKA MIKAKATI YA MWISHO KWAAJILI YA MEDIA DAY KESHO JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa Misa Tan,Tumaini Mwailenge(katikati)akizungumza na waandishi wa habari,wengine kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa wamiliki wa vyombo vya habari(Moat)Henry Muhanika na Afisa Mafunzo wa Tanzania Media Fund(TMF)Raziah Mwawanga

Afisa Mafunzo wa Tanzania Media Fund(TMF)Raziah Mwawanga akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Azimio la Arusha,kushoto ni Mkurugenzi wa Misa Tan,Tumaini Mwailenge

Makamu Rais wa Umoja wa Vilabu vya Waancdishi wa habari nchini(UTPC)Jane Mihanji akiteta jambo na Katibu wa Jukwaa la Wahariri wa Habari nchini,Neville Meena

Waandishi wa habari Seif Mangwangi,Queen Lema na Bertha Ismail wakifatilia mjadala.Picha na Filbert Rweyemamu

Waandishi wa habari Mustafa Leu,Rose Jackson na Wankyo Gati


Kutoka kushoto ni waandishi wa habari,Zephania Ubwani(The Citizen)John Nguge(Nipashe)Veronica Mheta(Habari Leo)

Waandishi wa habari wakiandika dondoo

Tonia(Radio 5)Pamella Mollel(Jamii Blog)na Zephania Ubwani(The Citizen)
Viongozi mbalimbali katika tasnia ya habari

Mwenyekiti wa Arusha Press Club(APC)Claud Gwandu akiwa na viongozi wenzake leo kwenye kikao cha maandalizi

Waandishi wa habari wakiwa wametulia wakitoa heshima kukumbuka kifo cha mwandishi wa habari wa Channel Ten,Daud Mwagosi aliyeuawa akiwa kazini mkoani Iringa
Janeth Mushi(Jambo Leo)Beatrice Gerald(Clouds TV)na Peter Saramba

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...