![]() |
| Lebo ya Chuo cha Uhasibu Arusha |
![]() |
| Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha(IAA)wakimsikiliza Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema(hayupo pichani) |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akiwa na viongozi mbalimbali wa kamati ulinzi na usalama wa mkoa chuoni hapo |
![]() |
| Polisi wa Kutuliza Ghasia(FFU)wakiwa wamejipanga kudhibiti fujo |
![]() |
| Baadhi ya wanachuo wakiwa chini ya ulinzi kupelekwa kituo cha Polisi |
![]() |
| Chini ya ulinzi |
![]() |
| Gari la Mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema likivutwa kupelekwa kituo cha Polisi baada ya kudaiwa kuchochea fujo za wanafunzi |
![]() |
| "Uko chini ya ulinzi sisi ni makamanda kijana" |
![]() |
| Askari wa kutuliza ghasia wakiwa kwenye viunga vya Chuo cha Uhasibu Arusha(IAA)leo |










إرسال تعليق