Bw.
Julian Raphael Banzi Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa
Ndani (AIC) akifungua semina ya siku tano ya waandishi wa habari kuhusu
masuala ya Uchumi inayofanyika katika ukumbi wa BOT Mtwara., Waandishi
wa habari watapata ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu masuala ya
uchumi, Kama vile Mabadiliko ya Mfumo mpya wa Kuandaa sera ya Fedha,
Mapitio ya Maendeleo ya Uchumi nchini, Kikanda na Kimataifa BDuniani,
Mifuko ya Dhamana kwa wajasiliamali na mengine mengi.
Akizungumza
wakati akifungua semina hiy.Banzi amewashukuru waandishi wa habari kwa
kazi kubwa wanayofanya katika kuandika habari za Benki Kuu kuhusu
masuala ya uchumi, na pia akawaasa kuandika habari zinazohusu
utekelezaji wa miradi mikubwa mbalimbali inayoendelea nchini ikiwemo
Reli ya Kisasa (SGR), Miradi ya Umeme , Bomba la Mafuta kutoka Hoima
nchini Uganda Mpaka Tanga nchini Tanzania na mingine mingi inayoendelea
kutekelezwa.
Mkurugenzi wa BOT,Lucas Mwimo Tawi la Mtwara akimkaribisha Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani (AIC),Julian Raphael Banzi ili kufungua semina hiyo.
Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BOT),Bi Zalia Mbeo akitambulisha wageni mbalimbali katika semina hiyo.
Bw.
Julian Raphael Banzi Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa
Ndani (AIC) kulia, Bw. Lucas Mwimo Mkurugenzi wa BOT Tawi la Mtwara
katikati na Jonson Myella Mkurugenzi Tafiti za Uchumi (BOT) wakiwa
katika semina hiyo.
Bw.
Julian Raphael Banzi Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa
Ndani (AIC) na Bi Zalia Mbeo Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki
(BOT) wakifuatilia hotuba ya Bw. Lucas Mwimo Mkurugenzi wa BOT Tawi la
Mtwara hayupo pichani wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Jonson Myella Mkurugenzi Tafiti za Uchumi (BOT) na maofisa wenzake wakiwa katika semina hiyo.
Vick
Msima Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki akiwa pamoja
na maofisa wenzake kutoka BOT wakifuatilia hutoba ya Bw. Julian Raphael
Banzi Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani (AIC).
Vick Msima Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki akitoa ratiba kwa washiriki wa semina hiyo.
Mwenyekiti wa Semina hiyo Bw. Ezekiel Kamwaga akitoa maelezo mafupi kabla ya kuanza kwa semina hiyo.
Katibu wa Semina hiyo Dorcas Mtenga kutoka Chanel Ten akizungumza machache kabla ya kuanza kwa semina hiyo.
Mwenyekiti wa Semina hiyo Bw. Ezekiel Kamwaga akitoa maelezo mafupi kabla ya kuanza kwa semina hiyo.
Bw.
Casmir Ndambalilo kutoka Idara ya Habari Maelezo akitaka ufafanuzi wa
jambo katika semina hiyo kulia ni Goodluck Msola kutoka EFM.
Bw. Khalfan Said wa K-Vis Blog akifanya vitu vyake kwa ajili ya matukio ya semina hiyo.
Bw.
Julian Raphael Banzi Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa
Ndani (AIC) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo
mara baada ya kufanya ufunguzi rasmi.
No comments:
Post a Comment