Pages

February 20, 2018

MBUNGE WA LONGIDO,DK STEVEN KIRUSWA AAHIDI KUWATUMIA WANANCHI WOTE

Mbunge wa jimbo la Longido mkoa wa Arusha,Dk Steven Kiruswa akizungumza na wananchi mjini Longido katika sherehe aliyoindaa kuwashukuru kufuatia kuchaguliwa kwake mwezi uliopita,ameahidi kuwatumikia wananchi wote bila kujali tofauti za kisiasa.

Mzee wa mila za jamii ya kimaasai,Kilorit Ngulupa(kushoto) akiwaombea baraka Mbunge wa jimbo la Longido mkoa wa Arusha,Dk Steven Kiruswa na mkewe wake, Agness Kiruswa.


Mbunge wa zamani wa jimbo la Longido mkoa wa Arusha,Lekule Laizer(kulia) akipokea zawadi ya blanketi kutoka kwa mbunge wa sasa, Dk Steven Kiruswa(kushoto) na mke wake,Agness Kiruswa wakati wa sherehe hiyo.

Baadhi ya viongozi waliohudhuria sherehe hiyo.

Mbunge wa jimbo la Longido mkoa wa Arusha,Dk Steven Kiruswa(kulia) akizungumza jambo na Gavana wa Kaunti ya Kajiado nchini Kenya,Joseph Ole Lenku baada ya sherehe na kukubaliana kuongeza ushirikiano baina ya wananchi wanaoishi maeneo ya mpakani.

Mkuu wa mkoa wa Njombe,Christopher Ole Sendeka(kushoto) akipokea zawadi ya Mbuzi kutambua mchango wakati wa kampeni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...