Muwezeshaji
kutoka Tanzania Media Foundation Dustun Kamanzi akizungumza na
Waandishi wa habari walioshiriki katika mafunzo ya uandishi Nishati
Jadilifu
Mwandishi Mwandamizi Alan Lawa akizungumza jambo wakati wa majadala
uliokuwa ukiendelea katika mafunzo hayo yaliyoandaliwa na TMF na Hivos
Kenya
Muwakilishi
wa Hivos Kenya , Maimuna Kabatesi akizungumza juu ya Hivos Kenya
katika kusaidia masuala ya mabadiliko ya Tabia nchi
Waandishi walioshirikikatika mafunzo hayo wakijadili jambo wakati wa kazi za makundi.
Mjumbe
wa bodi ya Terea Godwin Msigwa akiwa pamoja mwandishi wa DW Hawa Biolga
wakati wa ufundishaji wa makundi katika mafunzo hayo
Waandishi walioshirikikatika mafunzo hayo wakijadili jambo wakati wa kazi za makundi
No comments:
Post a Comment