Mbunge
wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala siku ya jana
alitembelea Kata ya Kitobo Wilayani Missenyi na kuzindua Daraja la Kyankoko
lenye sehemu tatu zilizowekewa Kalavati ,mrasdi uliopewa jina la la
Novati Rutegaruka Memorial Bridge ambalo ni jina la muasisi na
mwanasiasa mkongwe ambaye aliangaingia eneo hilo katika kipindi cha Uhai
wake.
Mbunge
wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala pichani wakati
akizindua Daraja hilo lililogharimu kiasi cha shilingi milioni kumi na
nne za kitanzania (Tsh 14,000,0000)kulia pichani ni Diwani wa Kata ya
Kitobo Mh.Willy Mtayoba.
Muonekano wa Daraja la Kyankoko lililopewa jina la Novati Rutegaruka Memorial Bridge Daraja linalovikutanisha Vijiji vya Msibuka na Kayanga katika Kata ya Kitobo Wilayani Missenyi
Mbunge
wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (pichani)
akiongea na wananchi wa Kijiji cha Kashasha kata Kitobo waliohudhuria
katika mkutano wake wa hadhara,Balozi
Dr. Diodorus Buberwa Kamala ameweza kuchangia miradi ya maendeleo
inayoendelea katika kata hiyo na pamoja na kuahidi kuzifanyia kazi kero
mbalimbali kama Uhaba wa wauguzi katika Zahanati na vituo vya
Afya,Utaratibu wa Bima ya Afya kwa Wazee na watu wenye Ulemavu kwa kuwapunguzia changamoto wanazokutana
Sehemu ya wananchi wakifatilia kwa umakini wakati mbunge wa
Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiendelea
kuwahutubia na kufanya majumuhisho ya changamoto alizozibaini katika
ziara yake ya Siku 17 Jimboni Mwake.
Baadhi
ya wananchi waliohudhurio mkutano wameweza kupata nafasi ya kuelezea
Kero zinazowakabili licha ya kuwepo mafanikio katika utatuzi wa baadhi
ya kero kupitia kwa Mbunge wao Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala
Baadhi ya wananchi waliohudhurio mkutano wameweza kupata nafasi ya
kuelezea Kero zinazowakabili licha ya kuwepo mafanikio katika utatuzi wa
baadhi ya kero kupitia kwa Mbunge wao Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala
Wananchi wakifurahia jambo katika mkutano huo uliofanyika Jana katika Kijiji cha Kashasha kata Kitobo Wilayani Missenyi,Picha kwa hisani ya #bukobawadaumedia
Afisa Maendeleo Kata Kitobo Saudi Crispian wakati akisoma taarifa ya maendeleo ya kata kwa Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi
Balozi Dr. Diodorus Buberwa alipotembelea kata hiyo, Balozi Dr.Kamala
amehitisha ziara yake kwa kutembelea maeneo mbalimbali kwa kukagua
miradi ya maendeleo na kubaini namna miradi mingi ya Maji Wilayani
Missenyi ilivyotekelezwa chini ya kiwango.
Picha kwa hisani ya #bukobawadaumedia
No comments:
Post a Comment