--
Mkurugenzi
wa Utalii na Masoko kutoka Hifadhi za Taifa Tanzania, Ibrahim Mussa
akizungumza wakati wa Mjadala juu ya uhifadhi katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza
kufanyika leo kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli
mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'.
Mtaalam
na Mtafiti wa Tembo,Dk Alfred Kikoti akizungumza na Wahariri na
Waandishi Waandamizi wa Vyombo mbalimbali vya habari nchini kuhusu
Ikolojia ya tembo katika hifadhi nchini katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza
kufanyika leo kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli
mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'.
Mwenyekiti wa MisaTan , Salome Kitomari akichangia jambo katika moja ya mada katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza
kufanyika leo kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli
mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'.
Ofisa
anaeshughulikia masuala ya Ujirani mwema kutoka TANAPA, Ibrahim Ninga
akitoa somo kwa Wanahabari nini Mamlaka yake imefanya katika kuakikisha
hakuna migogoro baina ya hifadhi na Majirani
Sehemu
ya Wahariri na Waandishi Waandishi waandamizi kutoka vyombo mbalimbali
vya habari ambao wameshiriki mkutano wa Mwaka wa Mamlaka ya Hifadhi za
Taifa Nchini Jijini Tanga
Mhariri
wa MwanaHalisi ,Jabir Idrissa akiuliza swali kwa wawezeshaji wakati wa
Mkutano wa Mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA) Jijini Tanga.
Katibu
wa Jukwaa la Wahariri , Neville Meena akinyosha Mkono kwa ajili ya
kuhitaji kuchangia juu ya nini kifanyike hili Waandishi wa habari waweze
kuripoti habari za utalii wa hapa nchini katika nyanja ya kimataifa.
Mwenyekiti wa MisaTan , Salome Kitomari akichangia jambo katika moja ya mada katika Mkutano wa Sita wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa Wahariri na Waandishi waandamizi ulioanza
kufanyika leo kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Tanga, ,ambapo kauli
mbiu ya mkutano huo ni 'Utalii na Tanzania ya Viwanda'.
Ofisa
anaeshughulikia masuala ya Ujirani mwema kutoka TANAPA, Ibrahim Ninga
akitoa somo kwa Wanahabari nini Mamlaka yake imefanya katika kuakikisha
hakuna migogoro baina ya hifadhi na Majirani
Mhariri
wa gazeti la Jamhuri ,Jackton Manyerere akichangia juu ya umuhimu wa
wadau wa utalii sasa kutumia mkoa wa mara ambao upo jirani na Hifadhi ya
serengeti utumike kama kituo cha kupokelea Watalii kuliko Arusha hivi
sasa
Mdau
Lilian Timbuka na Sara Kibonde wakaijadili jambo mara baada ya kukutana
kwenye mkutano wa Wahariri na waandishi waandamizi.
Mratibu
wa mradi Misitu ya Hifadhi ya Mazingira Asilia Tanzania, Gerald
Kamwenda akiteta jambo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu
Tanzania(TFS) ,Prof Dos Santos Silayowakati wa Mkutano wa Mwaka wa
Wahariri na Waandishi Waandamizi Jijini Tanga ulioandaliwa na Hifadhi za
Taifa Tanzania(TANAPA)
Washiriki
wengine wakifatilia Mada katika Mkutano wa Mwaka wa Wahariri wa
Waandishi Waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya Habari ulioandaliwa na
Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA).
No comments:
Post a Comment