Waziri
wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akiangalia bidhaa
mbalimbali zinazozalishwa na Wafanyabishara wa Zanzibar katika Uzinduzi
wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace
Malindi mjini Unguja.
Katibu
wa Baraza la Wazalishaji Zanzibar Madam Cheherezade Chukh akitoa hotuba
ya makaribisho katika uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika
katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
Mwenyekiti
wa Baraza la Wazalishaji Zanzibar Ahmed Yussuf Baalawy akizungumza
machache katika uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika
Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
Rais
wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Wenyeviwanda,Kilimo na Utalii
(ZNCCIA)Taufiq Tourky akitoa hotuba na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika
Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand
Palace Malindi mjini Unguja .
Baadhi
ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi wa Baraza la
Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini
Unguja.
Mgeni
Rasmi Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali
akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika
Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
PICHA NA-YUSSUF SIMAI ALI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment