Kamanda wa Polisi Mkoani
Tanga,Benedict Wakulyamba akizungumza na waendesha pikipiki maarufu kama
bodaboda wilaya Muheza wakati wa ufunguzi wa mpango wa kutoa elimu
waendesha bodaboda mkoani hapa ambao ulihudhurwa na wadau mbalimbali
ikiwemo madereva wa bodaboda kulia ni Kamanda wa kikosi cha Usalama
barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah kushoto ni Kaimu Mkuu wa
Polisi wilaya ya Muheza (OCD) ambapo aliwataka madereva wa bodaboda
kuacha kutumika kuwabeba wahamiaji haramu na dawa za kulevya kwani
watakaokamatwa hawatapona
Kamanda wa kikosi cha Usalama
barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah akizungumza katika kikao
hicho kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba na
kulia ni Katibu wa Bodaboda wilayani Muheza,Fransic Gerald
Kaimu Mkuu wa Polisi wilaya ya
Muheza,(OCD) akizungumza katika kikao hicho kulia ni Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto ni Mwakilishi wa Mkurugenzi
Mtendaji wa APEC Bahati Alex
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji
wa APEC Bahati Alex akizungumza katika kikao hicho wa pili kulia ni
Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto mwenye miwani
ni Kaimu Meneja wa
Mfuko wa Mafao ya Wastaafu (GEPF) Erick Haule
Katibu wa Bodaboda
wilayani Muheza,Fransic Gerald akizungumza katika kikao
hicho
Kaimu Meneja wa Mfuko wa
Mafao ya Wastaafu (GEPF) Erick Haule aliwataka madereva wa bodaboda kujiunga na
mfuko huo
kupitia mpango wa bodaboda Scheme ili waweze kunufaika
kupitia mpango wa bodaboda Scheme ili waweze kunufaika
Kamanda wa Polisi Mkoani
Tanga,Benedict Wakulyamba katikati akifuatilia maswali mbalimbali
kulia ni Kamanda
wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro
Sisiwayah
Waendesha pikipiki
wilayani Muheza maarufu kama
bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict
Wakulyamba wakati wa kikao hicho
Waendesha pikipiki wilayani
Muheza maarufu kama bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Tanga,Benedict Wakulyamba wakati wa kikao hicho
Waendesha pikipiki
wilayani Muheza maarufu kama
bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict
Wakulyamba wakati wa kikao hicho
Habari kwa hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment