Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Taarifa ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena
yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya
madini sehemu mbalimbali hapa nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati
hiyo Profesa Nehemiah Osoro Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakiangalia Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya
Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga
unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu
mbalimbali hapa nchini wakati ikifunguliwa kwenye kabrasha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha
Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye
makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye
machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini mara baada ya
kukabidhiwa Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan na kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakishuhudia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akimshukuru Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara
baada ya kumkabidhi Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini
yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka
kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini, Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi pamoja na Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
mara baada ya kukabidhiwa Ripoti hiyo ya Kamati ya Pili ya Uchunguzi wa
Madini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amesimama na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Kaimu Jaji Mkuu Profesa Ibrahim
Juma wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa , Spika wa Bunge Job Ndugai, Kaimu Jaji Mkuu Profesa Ibrahim
Juma, Katibu Mkuu kiongozi Balozi John Kijazi, Mwenyekiti wa kamati ya
pili ya Madini Propfesa Nehemiah Osoro pamoja na wajumbe wa Kamati hiyo
waliojumuika na viongozi wa Dini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wananchi
na viongozi mbalimbali wa Serikali wakifatilia kwa makini Ripoti ya
pili ya Kamati ya Madini Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment