Waziri wa
Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd akizungumza na Waandishi wa Habari
kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya
Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha
Vuga Mjini Unguja.
Mwandishi wa
Habari wa Hits Fm Jazaa Kombo katikati akiuliza maswali kwa Waziri wa
Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd alipozungumza na Waandishi
kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya
Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha
Vuga Mjini Unguja.
Mwandishi wa
Habari wa Habari Leo Khatib Suleiman akiuliza maswali kwa Waziri wa
Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd alipozungumza na Waandishi
kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya
Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha
Vuga Mjini Unguja.
Waziri wa Fedha
Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari
kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya
Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha
Vuga Mjini Unguja.
Baadhi ya
Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa waandishi wa habari
na Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd kuhusiana na Mipango
Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa
Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment