Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Msajili wa
Vyama vya siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mtungi (kulia)
aliemtembelea Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akisisitiza jambo mbele ya
ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania
ukiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania,
Mhe. John Shibuda (Kushoto) na kulia ni Msajili wa Vyama vya siasa
nchini Tanzania, Jaji Francis Mtungi katika kikao kilichofanyika
Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa
Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania, Mhe. John Shibuda (Kushoto),
pale ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa ulipomtembelea Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa
Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania, Mhe. John Shibuda (Kushoto),
Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mtungi (kulia)
pale walipomtembelea na ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya
siasa nchini Tanzania, katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake
katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akimsikiliza Msajili wa Vyama
vya siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mtungi (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Msajili wa Vyama
vya siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mtungi (wa pili kulia)
akizungumza jambo pale ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa
ukiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania,
Mhe.John Shibuda ulipomtembela Ofisini kwake katika Ukumbi wa Spika
Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisaini Cheti cha homa ya Manjano
alichokabidhiwa katika Ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akionyesha Cheti cha homa ya Manjano
alichokabidhiwa katika Ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment