Balozi
wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akiongozana na Waziri Mkuu
mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati wakiwasili kwenye Ukumbi wa
Mlimani city Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Maadhimisho ya
Kumbukumbu ya Mauaji wa Kimbari dhidi ya Watusi yaliyotokea miaka 23
iliyopita huko nchini Rwanda.
Babalozi
kutoka nchi mbali mbali wakiwasha mishumaa wakiongozwa na Balozi wa
Rwanda nchini Tanzania Mhe. Eugene Kayihura kwenye maaadhimisho ya
Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari iliyofanyika katika ukumbi wa
Mlimani City jijini Dar es Saalam.
Balozi
wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe Edzai Chimonyo akizungumza kwenye
maadhimisho ya Mauaji ya Kimbari yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akizungumza kuhusu mauaji ya
Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda wakati wa maadhimisho ya miaka 23
yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wageni waliohudhilia katika maadhimisho ya Maadhimisho
ya Kumbukumbu ya Mauaji wa Kimbari dhidi ya Watusi yaliyotokea miaka 23
iliyopita huko nchini Rwanda, yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa
Mlimani city, jijini Dar es salaam .
Balozi
wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akizungumza kuhusu mauaji ya
Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda wakati wa maadhimisho ya miaka 23
yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza kwenye maadhimisho ya
miaka 13 ya mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyofanyika jijini
Dar es Salaam.
Sheikh Hamis Mtonga akiomba dua wakati wa kuanza maadhimisho ya miaka 23 ya Kimbari ya nchini Rwanda
Baadhi ya Viongozi na wananchi waioudhuria kwenye maadhimisho ya miaka 23 ya mauaji ya kimbari wakisikiliza dua
Mwakilishi wa Umoja wa Vijana Tanzania. Bi. Joyce Mbiha akiwasilisha mada kwenye maadhimisho ya miaka 23
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani wakiimba nyimbo wakati wa maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment