Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu akizungumza jambo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro. |
Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu na Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo wamjulia hali Doreen Elibarick |
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akimsalimia Doreen Elibarick kabla ya kupanda ndege kwenda Marekani kwa matibabu. |
Utaratibu wa kuwaingiza kwenye gari kisha kwenye ndege ukiendelea na maafisa wa uwanja wa ndege wa KIA. |
Mkuu
wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akifurahia Kadi zilizoandaliwa na wanafunzi wa shule ya ISM kwaajili ya wanafunzi wenzao. Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment