Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
wakati alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kuangalia
uendeshaji wake na kuongea na watumishi leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu
wa TBC Dkt Ayoub Rioba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akioneshwa
sehemu mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za Shirika la
Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na
kuongea na watumishi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
moja ya studio za Televisheni za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)
na mtangazaji Bi. Asha Haji alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake
na kuongea na watumishi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na watumishi Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo
kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha
ya pamoja na watumishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)
alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa
maeneo mbalimbali ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea
leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment