Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,William Ole Nasha(kushoto)akikagua ghala la mbegu bora zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora. |
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,William Ole Nasha akizungumza jambo baada ya kukagua ghala la mbegu bora za kampuni ya Monsanto zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora |
Meneja Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato Tanzania,Frank Wenga akieleza mipango kamambe ya kuwafikishia mbegu bora wakulima kote nchini. |
Wageni mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa ofisi ya Monsanto Tanzania. |
Meneja Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato Tanzania,Frank Wenga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari . |
No comments:
Post a Comment