Mkuu wa wilaya mstaafu,,Peter Toima akitoa salamu zake kwa wananchi walihudhuria. |
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza katika sherehe hiyo,kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)mkoa wa Arusha,Michael Lekule Laizer. |
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizindua hoteli ya Eserian ,kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)mkoa wa Arusha,Michael Lekule Laizer. |
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akiangalia mandhari ya hoteli ya Eserian akiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)mkoa wa Arusha,Michael Lekule Laizer. |
No comments:
Post a Comment