Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)
Jumaa Aweso kushoto akiwa ameambatana na Mkuu wa wilaya ya Pangani
Zainabu Issa wakitembelea hospitali ya wilaya ya Pangani kabla ya
kukabidhi Msaada wa vifaa tiba ambavyo vimetolewa na Rais John
Magufuli
Mganga Mkuu wa wilaya ya
Pangani,Dkt Juma Mfanga kulia akimueleza Mbunge wa Jimbo la Pangani
(CCM) Changamoto zinazowakabili wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa
tiba ambavyo vimetolewa na Rais John Magufuli kwa Mbunge huyo kwa ajili
ya wilaya ya Pangani ambayo ni mashuka 50 na vitanda 25
Mganga Mkuu wa wilaya ya
Pangani,Dkt Juma Mfanga kulia akielezea Changamoto zinazowakabili
wakati wa hafla ya
makabidhiano ya vifaa tiba ambavyo vimetolewa na Rais John Magufuli kwa
Mbunge huyo kwa ajili ya wilaya ya Pangani wa pili kutoka
kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa
Aweso
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)
Jumaa Aweso akizungumza katika halfa hiyo ambapo alimshukuru Rais John
Magufuli kwa kuona umuhimu wa kusaidia vifaa ntiba wilaya ya Pangani
Mkuu wa wilaya ya Pangani
Zainabu Issa akizungumza katika halfa hiyo kushoto ni Mbunge wa Jimbo
la Pangani (CCM) Jumaa Aweso
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) akizungumza katika makabidhiano
hayo
Mkurugenzi wa Halmashauri
ya wilaya ya Pangani,Sabasi Chambasi akizungumza katika halfa
hiyo
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)
Jumaa Aweso mara baada ya hafla hiyo kwa kumshukuru Rais John Magufuli
kwa kuona umuhimu wa kusaidia vifaa tiba kwenye wilaya hiyo
Picha ya pamoja baada ya
makabidhiano hayo
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment