Pages

May 7, 2017

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO,MH SAMIA SULUHU HASSAN ATAWAONGOZA WATANZANIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO ARUSHA

Uongozi wa Shule ya Lucky Vincent wakizungumza na waandishi wa habari leo
Mwonekano wa Shule Lucky Vincent ya jijini Arusha ambayo wanafunzi wake walipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea jana wilayani Karatu ,Makamu wa Rais ataongoza waombolezaji katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...