Mfanyakazi
wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Raymond Mushumbusi
akiwa pamoja na Mkewe Bi.Susan Barnabas jana wakati walipofunga ndoa
takatifu na kuwa mwili mmoja kwenye kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay
jijini Dar es salaam wakisindikizwa na wasimamizi wao Benedict
Mwakasindile na Bi. Leticia Mwakaila . Ndoa hiyo ilifungwa na Padri
Padri Haule wa Kanisa hilo.
Bibi
harusi Susan Barnabas na msimamizi wake Leticia Mwakaila wakiwa kwenye
gari kabla ya kuingia kanisani tayari kwa tukio la kufungwa kwa ndoa
hiyo jana.
Mfanyakazi
wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Raymond Mushumbusi
akimvisha pete Mkewe Susan Barnabas wakati walipofunga ndo katika
kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jana jijini Dar es salaa.
Mfanyakazi
wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Raymond Mushumbusi
akiwa pamoja na Mkewe Susan Barnabas wakishiriki sala wakati wa ibada
ya kufungwa kwa ndoa yao jana.
Padri Haule wa kanisa la Mtakatifu Petro akiziombe pete za maharusi huku maharusi hao wakiwa wamezishikilia.
Bibi Harusi Susan Barnabas akipozi kwa picha kwenye gari.
ibi
Harusi Susan Barnabas akimvisha pete mumewe Bw. Raymond Mushumbusi
wakati walipofunga ndo kwenye kanisa la Mtakatifu Petro Osterbay jijini
Dar es salaa huku Padri Haule akishuhudia tukio hilo kulia ni Bw.
Benedict Mwakasindile msimamizi wa maharusi hao.
Maharusi wakisaini vyeti vya ndao mara baada ya kufungwa kwa ndoa hiyo.
Maharusi wakiwa kanisani mara baada ya kufungwa kwa ndoa hiyo.
Maharusi
wakionyesha vyeti vyao vya ndoa mara baada ya kufungwa kwa ndoa hiyo
kwenye kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment