Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania (TAWLA) Bi. Athanasia
Soka akfungua mkutano wa mwaka wa Chama hicho ulioshirikisha wanachama
wake ambao ni wanasheria wanawake, Mkutano huo umefanyika leo kwenye
Hoteli ya New Afrika jijini Dar es salaam na kujadili mambo kadhaa
yakiwemo mafanikio na changamoto zinazokabili chama chao pamoja na jamii
kwa ujumla wake.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Kutoka
kulia ni Maria Matui Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wanasheria
Tanzania ( TAWLA), Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini
Tanzania (TAWLA) Bi. Athanasia Soka, Tike Mwambipile Mkurugenzi Mtendaji
wa (TAWLA) na Lulu Ngwanakilala Mtoa mada katika mkutano huo
wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyojadiliwa na washiriki wa mkutano
huo.
Mtoa mada Shamshard Remhamtulla akizungumza katika mmkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
Kutoka
kulia ni Maria Matui Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wanasheria
Tanzania ( TAWLA), Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini
Tanzania (TAWLA) Bi. Athanasia Soka, Tike Mwambipile Mkurugenzi Mtendaji
wa (TAWLA_
Lulu
Ngwanakilala Mtoa mada akizungumza jambo na washiriki wa mkutano wa
Chama cha Wanasheria wanawake wa mwaka uliofanyika leo jijini Dar es
salaam.
Mtoa Mada Madeline Kimei kulia akijiandaa kutoa mada katika mkutano huo.
Maria
Matui Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wanasheria Tanzania (
TAWLA) akielezea baadhi ya taratibu katika mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo Wanasheria wanawake wakifuatilia mada.
Kutoka kulia ni Mary RichardLatifa Mwabondo na Khadija Ngasongwa wanachama wa (TAWLA) wakiwa katika mkutano huo.
Madeline Kimei Mtoa mada wa mkutano huo pamoja na washiriki wengine wakiwa katika mkutano huo.
Jaji wa Mahakama Kuu Jaji Leila Ngonya pamoja na washiki wengine wanachama wa (TAWLA) wakiwa katika mkutano huo.
Josephine Arnold kutoka (TAWLA) akimsajili mshiriki wa mkutano huo na mwanachama wa (TAWLA) Bi. Mariam Mungula
Washiriki mbalimbali wakijisajili kwa ajili ya kushiriki mkutano huo.
Mmoja
wa watoa mada Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kushoto akifuatilia jambo
katika mkutano huo kulia ni Mariam Mungula na baadhi ya washiriki.
No comments:
Post a Comment