Pages

May 29, 2017

ANGALIA PICHA KAMANDA SIRRO AKIAPISHWA KUWA IGP MPYA IKULU LEO


Leo May 29, 2017 Rais Magufuli amemwapisha Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jesho la Polisi Tanzania (IGP), baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo May 28. IGP Sirro amechukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye imeelezwa atapangiwa kazi nyingine.Nimekuwekea hapa picha za matukio yote ya kuapishwa kwa IGP Sirro.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...