Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia
Ackson akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Suleimani Jafo akijibu
maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Mbunge
wa Mwibala (CCM) Mhe. Kangi Lugola akiuliza swali katika kikao cha
tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,
2017.
Mbunge
wa Viti Maalum Morogoro (CCM) Mhe. Christina Ishengoma akiuliza swali
katika kikao cha tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 19, 2017.
Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula
akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha Tisa cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Mbunge
wa Viti Maalum (CUF) Mhe Saverina Mwijage akiuliza swali katika kikao
cha tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili
19, 2017.
Naibu
Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dkt. Ashatu Kijaji akijibu maswali ya
wabunge mbalimbali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Aprili.
Mbunge
wa Chilonwa (CCM) Mhe. Joel Makanyanga akiuliza swali katika kikao
cha tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,
2017.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani akijibu maswali ya
wabunge mbalimbali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Mbunge
wa Viti Maalum Arusha (CCM) Mhe. Catherine Magige akiuliza swali
katika kikao cha tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 19, 2017.
Naibu
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwelwe akijibu maswali ya
wabunge mbalimbali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017
Mbunge
wa Mikumi (CHADEMA) Mhe. Joseph Haule akiuliza swali katika kikao cha
tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,
2017.
Mbunge
wa Busokelo (CCM) Mhe. Fredy Mwakibete akiuliza swali katika kikao cha
Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,
2017.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akimsikiliza Naibu wake Mhe. Anastazia Wambura wakati wakijadiliana
jambo katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 19, 2017.
Naibu
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
wakijadiliana jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge
katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 19, 2017.
Waziri
wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizaba wakijadiliana jambo na
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage katika
kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 19, 2017.
Wabunge
wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO
No comments:
Post a Comment