Pages

April 6, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA, BALOZI WA ISRAEL NCHINI, IKULU, DAR ES SALAAM LEO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na  balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer  baada ya kukutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na  balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na  balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer  baada ya kukutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea ujumbe maalumu toka kwa Waziri Mkuu wa Israel Mhe. Benjamin Netanyahu uliowasilishwa kwake na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsindikiza baada ya mazungumzo na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan baada ya kutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...