Mhariri
Mtendaji wa Kampuni ya The Guardian Ltd, Jesse Kwayu akiwaongoza
washiriki wa warsha inayotolewa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini
mwa Afrika (MISA-TAN) juu ya changamoto zilizopo katika sheria mpya ya
Huduma za Habari.
Baadhi
ya Wanahabari kutoka mikoa ya Tanga,Arusha ,Manyara na Kilimanjaro
wakishiriki katika warsha hiyo inayofanyika katika Hoteli ya Impala
jijini Arusha.
Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Luninga cha ITV mkoa wa Manyara, Charles Masanyika akichangia jambo wakati wa warsha hiyo.
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi mkoa wa Manyara ,Joseph Lyimo akichangia jambo katika warha hiyo.
Wakili
Msomi na Mwanahabari mwandamizi James Marenga akiwapitisha washiriki wa
warsha hiyo katika vifungu mbalimbali vya sheria ya Huduma ya Habari.
Baadhi ya Washiriki.
Afisa Habari na Utafiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA-TAN) Sengiyumva Gasirigwa
Baadhi ya wanahabari wanaoshiriki warsha hiyo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment