PICHA NNE ZA DHAMANA YA MBUNGE WA ARUSHA MJINI,GODBLESS LEMA

Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini,Godbless Lema akiwapungia  wafuasi wake baada ya kuachiwa kwa dhamana Mahakama Kuu.

Lema akiwa na wafuasi wake

Viongozi waandamizi wa Chadema waliofika Mahakamani kusikiliza kesi ya Mbunge wa Lema.

Shamrashamra za wafuasi wa Chadema

Post a Comment

Previous Post Next Post