Baadhi
ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika matembezi ya
Maadhimisho ya Chama Cha Girl Guides Tanzania (TGGA) ya kumuenzi
mwanzilishi wa chama hicho Duniami, Roden Barden Powell yaliyofanyika
Manispaa ya Temeke Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa TGGA
Tanzania, Profesa Martha Qorro na Kamishna Mkuu wa TGGA Tanzania,
Symphorosa Hangi . PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Kamishna Mkuu wa TGGA Tanzania, Symphorosa Hangi akiwasalimia wanafunzi ambao ni wanachama a TGGA Temeke
Wanafunzi
wanachama wa TGGA Temeke wakiandamana wakati wa maadhimisho hayo
yaliyofanyika katika Shule ya Tandika wilayani Temeke, Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki.
Viongozi wa TGGA wakipiga makofi wakati wa kuyapokea matembezi ya wanachama wa TGGA
Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TGGA
Kaimu
Ofisa Tarafa Chang'ombe, Hezron Mweladzi (kushoto) aliyemwakilisha Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva akizungumza jambo wakati wa
Madhimisho ya Chama Cha Girl Guides Tanzania ya kumuenzi mwanzilishi wa
chama hicho. Roden Barden Powell... Kulia ni Kamishna Mkuu wa TGGA,
Symphorosa Hangi na Mwenyekiti wa Chama hicho,Martha Qorro
Wanafunzi hao wakiimba nyimbo wakati wa maadhimisho hayo
Wanafunzi
wakiwa katika igizo la mchezo wa kuelimisha na kukataa kurubuniwa na
wanaume. wa katikati ni Eunice Joseph, kushoto ni Hajra Mhamedy na kulia
ni Seiph Kingwande ,
Wanafunzi
wakiwa katika igizo, kushoto ni Eunice Joseph kama mwanafunzi, kulia
aliyekaachini ni ni kama Daktari aliyekuwa akimpima mwanafunzi aliyekuwa
na ujauzito Husna Mussa na wakatikati ni Farider Mohammed kama mzazi wa
mwanafunzi
Kamishna wa TGGA Temeke, Komba akizungumza jambo wakati wa maadhimisho hayo
Profesa Qorro akihutubia wakati wa maadhimisho hayo
Profesa Qorro akiwaelekeza jambo wanafunzi
Profesa Qorro akiagana na wanafunzi baada ya maadhimisho hayo kumalizika

إرسال تعليق