Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Engusero
wilayani Kiteto waliofunga barabara wakitaka asimame kuwasalimia.
Alikuwa kitoka Dodoma kwenda Kiteto kwa ziara ya kazi mkoani Manyara
Februari 15, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa skafu baada ya kuwasili mjini Kibaya
kuanza ziara ya kazi wilayani Kiteto Februari 15, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala wa mkoa wa
Manyara, Eliakim Maswi baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya
wilaya ya Kiteto Februari 15, 2017.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akisalimina na viongozi wa dini baada ya kuwasili
mjini Kibaya kuanza ziara ya wilaya ya Kiteto Februari 15, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara,
Joel Bendera tarifa ya mkoa wa Manyara baad ya kusomewa mjini Kibaya
katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Kiteto Februari 15, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya
ya Kiteto mjini Kibaya akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake
wilayani Kiteto Februari 15, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa
Manyara, Joel Bndera na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara,
Eliakim Maswi.
Baadhi
ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao mjini Kibaya Februari
15, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya wilaya
ya Kiteto mjini Kibaya akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa
Manyara, Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment