Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya
Rogers William Sianga Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Balozi Joseph Sokoine kuwa Balozi mpya nchini Ubelgiji, Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Balozi Omar Yusuph Mzee kuwa Balozi mpya nchini Algeria, Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Grace Mgovano kuwa Balozi nchini Uganda, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi
mbalimbali walioapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
AHADI
YA UADILIFU. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala
wakwanza kulia akiwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana
na Dawa za Kulevya Rogers William, Balozi Joseph Sokoine, Balozi Omar
Yusuph Mzee pamoja na Balozi Grace Mgovano wakila kiapo cha Ahadi ya
Udilifu kwa viongozi mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
mara baada ya kuwaapisha Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za kulevya, pamoja na Mabalozi
watatu Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
mara baada ya kuwaapisha Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za kulevya, pamoja na Mabalozi
watatu Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment