Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhe. George Boniphace Simbachawene akizungumza wakati wa mkutano baina
yake na wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa MKURABITA Ofisini kwake leo
Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwasilisha taarifa ya tathimini ya
utekelezaji wa Mpango wa Urasimishaji wa Rasilimali na Biashara katika
Halmashauri nchini.Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa
Mkurabita Kapteni Mstaafu John Chiligati.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara
Tanzania (MKURABITA) Mhe. Kapteni Mstaafu John Chiligati akielezea jambo
wakati wa kikao baina ya kamati hiyo na TAMISEMI kuhusu tathmini ya
utekelezaji wa mpango huo katika Halmashauri mbalimbali nchini leo
Jijini Dar es Salaam. Kutoka Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniphace
Simbachawene, Mratibu wa MKURABITA Bibi. Seraphia Mgembe na Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa MKURABITA Profesa. Aldo Lupala.

Mratibu
wa MKURABITA Bibi. Seraphia Mgembe akifafanua jambo wakati wa kikao
baina ya Kamati ya Uongozi ya MKURABITA na TAMISEMI kuhusu tathmini ya
utekelezaji wa mpango huo katika Halmashauri mbalimbali nchini leo
Jijini Dar es Salaam. Kutoka Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniphace
Simbachawene, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa Mpango wa Kurasimisha
Rasilimali na Biashara Tanzania (MKURABITA) Mhe. Kapteni Mstaafu John
Chiligati na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa MKURABITA
Profesa. Aldo Lupala.
Watendaji
kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
ambao ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Miji Dkt. Mkuki Hante pamoja na
Mkurugenzi wa Utawala kwa Serikali za Mitaa Bibi. Miriam Mmbaga
wakifuatilia mjadala wakati wa kikao baina ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – TAMISEMI na MKURABITA kuhusu tathmini ya utekelezaji wa mpango
huo leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhe. George Boniphace Simbachawene akipokea taarifa ya tathmini kuhusu
utekelezaji wa Mpango wa Kurasimisha rasilimali na biashara uliofanyika
katika Halmashauri 52 na Miji 9 nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati
ya Uongozi wa Mkurabita Kapteni Mstaafu John Chiligati leo Jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhe. George Boniphace Simbachawene akisoma taarifa ya tathmini kuhusu
utekelezaji wa Mpango wa Kurasimisha rasilimali na biashara uliofanyika
katika Halmashauri 52 na Miji 9 nchini mara baada ya kuipokea kutoka kwa
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa Mkurabita Kapteni Mstaafu John
Chiligati(hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhe. George Boniphace Simbachawene akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati
ya Uongozi wa Mkurabita Kapteni Mstaafu John Chiligati (katikati)
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa MKURABITA Profesa. Aldo Lupala
mara baada ya mkutano baina yake na wajumbe wa Kamati ya hiyo Ofisini
kwake leo Jijini Dar es Salaam.
Na: Mpiga Picha Wetu.
No comments:
Post a Comment