Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara
ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8. Wengine katika picha ni
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara
ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
ngoma za asili pamoja na kikundi cha Ngoma za asili Baseki cha Bariadi
mkoani Simiyu mara baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya ufunguzi
wa barabara ya Bariadi-Lamadi.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
kabla ya kufungua rasmi barabara hiyo la Bariadi-Lamadi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka kabla ya kufungua barabara
ya Bariadi-Lamadi na kuwahutubia wananchi wa mkoa huo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
makofi pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka wakati vikundi vya
kwaya mbalimbali vilipokuwa vikitumbuza Bariadi mkoani Simiyu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
moja ya nguzo katika ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
viongozi mbalimbali pamoja na madaktari na manesi mara baada ya kuweka
jiwe la msingi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu. PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment