Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr John Pombe Magufuli
akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)
Mhe. Joseph Kabila katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Jengo
la ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) jijini Dar
es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr John Pombe Magufuli akihutubia
katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Jengo la ONE STOP CENTRE
la Mamlaka ya bandari (TPA) jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr John Pombe Magufuli
akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)
Mhe. Joseph Kabila kuhutubia katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi
la Jengo la ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya bandari (TPA) jijini Dar es
salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila akihutubia
katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Jengo la ONE STOP CENTRE
la Mamlaka ya bandari (TPA) jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila akipokea
zawadi ya picha ya Bandari ya Dar es salaam kutoka kwa mwenyekiti wa
Bodi ya TPA Bw. Ignas Aloys Rubaratuka katika
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Jengo la ONE STOP CENTRE la
Mamlaka ya bandari (TPA) jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr John Pombe Magufuli na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila
katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la wakipata maelezo toka
kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr John Pombe Magufuli
akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)
Mhe. Joseph Kabila katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Jengo
la ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) jijini Dar
es salaam leo Oktoba 4, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkr John Pombe Magufuli akimshuhudia
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Joseph
Kabila akifunua pazia kuashiria kuwekwa kwa jiwe la msingi la Jengo la
ONE STOP CENTRE la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) jijini Dar es
salaam leo Oktoba 4, 2016
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment