Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Ikulu jijini Dar es salaam
leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulisha
viongozi kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Ikulu
jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Ikulu jijini Dar es salaam
leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Ikulu
jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia
zawadi ya kinyago cha UMOJA Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
(DRC) Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuriwa na
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi
ya kinyago toka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi
ya kinyago toka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea
kwenye ukumbi wa mkutano na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Kongo (DRC) Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake katika mazungumzo rasmi
na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na ujumbe wake Ikulu
jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake katika mazungumzo na Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) nma ujumbe wake Ikulu jijini
Dar es salaam leo Septemba 4, 2016.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment