Pages

August 1, 2016

TBL Group family day 2016 yafana vilivyo

Mkurugenzi Rasiriamali watu wa TBL Group David Magesa (kushoto) akimkabidhi Mercy Maliwa  zawadi kwa kuibuka mshindi wa shindano la mpango wa AfyaKwanza , wakati wa wa  Siku ya wafanyakazi wa kampuni hiyo (Family Day) iliyofanyika kwenye viunga vya  hoteli ya Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakisafishwa   kucha za miguu pamoja na kupakwa rangi kwenye burudani za siku ya familia

Wototo wa wafanyakazi walicheza michezo mbalimbal

Watoto wakiweza kujibu maswali ya ufahamu na kujishindia zawadi

Zoezi la Afya Kwanza lilitekelezwa kwa vitendo

Baadhi ya wafanyakazi na família zao wakipata misosi

Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wakijinafasi kwa kuogelea

Wana msondo wakimwaga burudani kwa wafanyakazi wa TBL Group

Msanii maarufu wa vichekesho  Joti alikuwepo kumwaga burudani

Burudani tele za muziki zilikuwepo

Burudani tele za muziki zilikuwepo  
Wafanyakazi wa TBL Group wa Dar es Salaam na familia zao walikutana na familia zao na kukaa pamoja na kufurahi huku wakishirikiana kucheza michezo,kupata burudani ya muziki na vichekesho kutoka kwa wasanii mbalimbali bila kusahau misosi na vinywaji hali ambao ilileta furaha katika tukio hilo muhimu kwa kampuni la kuwafanya wafanyakazi kuzidi kufahamiana kwa karibu nje ya mazingira ya kazi na familia zao pia kuwa na ukaribu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...