Rais John Pombe Magufuli alitangaza kuwa mapema mwezi September Serikali itanunua ndege mbili kubwa aina ya Bombardier Q400 kutoka nchini Canada ili kuweza kulipa uhai shirika la ndege la Tanzania (ATCL).
Ikiwa zimebaki siku kadhaa itimie ahadi ya Rais Magufuli hizi ni picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii lakini bado tunaendelea kutafuta mamlaka husika kuthibitisha lakini pia kujua taarifa zaidi kuhusiana na ndege hizo mpya.
No comments:
Post a Comment