Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2016,George Mbijima akivalishwa Skafu na kijana wa Scout wakati wa kuanza kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika halmashauri ya wilaya ya Arusha DC. |
Mkurugenzi wa New Age Company Ltd,Godson Ngomuo akimwonyesha Samani zinazotengenezwa na kuuzwa na kampuni yake na kusaidia kutengeneza ajira kwa vijana wazawa. |
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2016,George Mbijimaakizungumza na maafisa wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wilaya ya Arumeru wanaotoa elimu dhidi ya Rushwa. |
Vijana wa JKT Oljoro na Scout wakiserebuka kushangilia Mwenge wa Uhuru. |
Moja ya mradi wa maji uliozinduliwa katika Kijiji cha Lekamba. |
No comments:
Post a Comment