Meneja Rasilimali watu Kutoka Benki ya NMB Dada Edith Mwiyomela akitoa Mada kwa Wanawake Wa Mkoa wa Dar es Salaam walionufaika
na Mradi Kutoka Taasisi ya Manjano waliokutana kujadili na Kuangalia
namna ya Kutatua changamoto wanazokutana nazo kwenye Biashara yao ya
Upambaji na Uuzaji wa Vipodozi, Ambapo wameaswa Kuwafanya Kazi kwa
Bidii,kuwa na Nidhamu na Pia kuweka akiba Pamoja na Kuwa na uvumilivu
kwenye kazi zao za kila siku ili kuweza Kufikia Malengo waliyojiwekea.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa wa Shear Illusions na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Manjano Foundation Mama Shekha Nasser (kushoto) Akimsiliza Mmoja wa
Wanawake aliyekuwa akieleza namna anavyopambana na Changamoto
zinzowakabili Wanawake wengi kwenye Biashara zao.Kwa Upande Mwingine
Mama Shekha Nasser Amawataka Wanawake waliohudhuria
namna gani ya kuweza kutofautisha faida na mtaji. Biashara nyingi za
kina mama hufa baada ya mwaka mmoja tu kwa sababu wanawake wengi hawana
nidhamu ya kutunza pesa. Hivyo tutaona matokeo ya 'Savings Club'
zitakavyo wawezesha kusave pesa ili wasiweze kula mitaji na faida yote
kwa pamoja
Washiriki wakisiliza kwa Makini Namna ya Kupambana Changamoto mBalimbali zilizowsilishwa kwenye Mkutano huo
Washiriki wakisiliza kwa Makini Namna ya Kupambana Changamoto mBalimbali zilizowsilishwa kwenye Mkutano huo
No comments:
Post a Comment