Familia
ya Bwana William H. Shelukindo,
Inasikitika kutangaza kifo cha Bibi
Beatrice Matumbo Shelukindo
kilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/2016 huko Arusha.
Mipango
ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu 8 Galu Street, Ada Estate, Dar es
salaam na huko Arusha.
Mazishi
yatafanyika siku ya Jumatano Tarehe 6/07/2016 alasiri Mjini Arusha.
Bwana
ametoa Bwana, ametoa Jina la Bwana lihimidiwe.
No comments:
Post a Comment