Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza namna jinsi walivyojipana kukusanya mapato kwanjia za kieletroniki na mashine za EFD's kuhakikisha mapato hayapotei. |
Mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania,Eliya Mbonea akiuliza swali. |
Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo |
Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo |
Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo |
Afisa Habari Mwandamizi wa Jiji la Arusha,Nteghenjwa Hoseah akizungumza jambo baada ya mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment