Askari
Polisi wakizima moto uliokuwa umewashwa na wafanyabiashara ndongondogo
maarufu kwa jina la "wamachinga" waliokuwa wamepanga bidhaa zao chini
katika katika mtaa wa Kongo jijini Dar es Salaam leo, wakipinga
kuondolewa katika mtaa huo. (Picha na Francis Dande)
Askari wakiwa wameimarisha ulinzi katika mtaa wa Kongo.
Zoezi la kuzima moto likiendelea.
Mtaa wa Kongo ukiwa mweupe baada ya kuondolewa kwa wamachinga.
Wanachi
wakipita katika Mtaa wa Kongo bila usumbufu wowote baada ya
wafanyabiashara wanaopanga bidhaa zao chini kuondolewa na Polisi leo.
Gari la Polisi likiwa katika mtaa wa Kongo.
Polisi wakiwa Diria.
Garoi la Polisi likimwaga maji kuzima moto uliokuwa unawaka.
Wananchi wakipita kandokando ya magari ya Polisi.
Polisi wakizima moto.
Mtaa wa Kongo ukiwa mweupe baada ya Polisi kuondoa wamachinga waliokuwa wamepanga bidhaa zao chini.
No comments:
Post a Comment