Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia katika Siku ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe na Uzinduzi wa
Kampeni za Uchangiaji wa Ujenzi wa Bweni la Wanachuo wa Kike.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia katika Siku ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe na Uzinduzi wa
Kampeni za Uchangiaji wa Ujenzi wa Bweni la Wanachuo wa Kike ambapo
aliwashi mabinti kuzingatia masomo kwanza kabla ya kuingia kwenye mambo
mengi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizindua rasmi kampeni za uchangiaji wa ujenzi wa bweni la wanachuo wa
Kike.
Wanafunzi
wa Chuo Cha Mzumbe wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Siku ya Wahitimu wa Chuo
Kikuuu cha Mzumbe na uzinduzi wa kampeni za uchangiaji wa ujenzi wa
bweni la wanachuo wa kike.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Bernadetha Msigwa mwanafunzi wa chuo cha Mzumbe ambaye
amepoteza uwezo wake wa kuona na anasubiri kwenda nje kwa matibabu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akipokea kitabu chenye orodha ya majina ya wanachuo waliohitimu
katika chuo cha Mzumbe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Msanii maarufu wa kuigiza sauti za Viongozi
anayejulikana kwa jina la JK Komedian
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan(katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbali mbali
wakati wa sherehe ya Siku ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe na Uzinduzi
wa Kampeni za Uchangiaji wa Ujenzi wa Bweni la Wanachuo wa Kike Kampasi
Kuu mjini Morogoro, Waliokaa kutoka kushoto ni Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako na
Mkuu wa Chuo cha Mzumbe,Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Barnabas Samatta, kulia
ni Mkuu wa mkoa wa Moro Mhe. Steven Kebwe na Rais wa Baraza la la
Masajili,chuo kikuuu Mzumbe Bw. Ludovick Utouh
No comments:
Post a Comment