Kikosi cha wachezaji 23 wa timu ya taifa ya England kimewasili Paris Ufaransa mchana wa leo June 6 2016 kwa ajili ya michuano ya Euro 2016, England imeondoka Luton asubuhi na kuwasili Paris Airport-Le Bourget mchana wa leo June 6 2016, England itacheza mchezo wake wa ufunguzi wa Euro 2016 Jumamosi dhidi ya Urusi.
No comments:
Post a Comment