Pages

March 27, 2016

KITUO CHA KULEA WATOTO YATIMA CHA JANGO ZAIDA ORPHANAGE CENTRE CHAPATIWA MSAADA

 Watoto wanaoishi kwenye Kituo cha Jango Zaida Orphanage Sinza jijini Dar es salaam wakiwa Katika Picha ya Pamoja walipotembelewa na Wadau waliosoma Pamoja Shule ya Sekondari Bwawani.
 Baadhi ya Vitu mbalimbali vilivyotolewa.
 Wadau waliosoma Shule ya Sekondari Bwawani wakiwa kwenye Picha ya Pamoja na Mama Mlezi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Jango Zaida Orphanage centre  walipokitembelea kituo hicho na Kutoa Msaada ya Vitu MBalimbali kwajili ya Kusaidia Kutatua Changamoto Mbalimbali zinazokikabili kituo hicho.


Picha ya Pamoja na watoto wanaoishi katika Kituo hicho

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...