RAIS BARRACK OBAMA AKITIMUA MBIO KUWAHI NDEGE BAADA YA KUCHELEWA.
Habari zilizogonga vichwa vya habari duniani ni tukio la Rais wa Marekani Barak Obama Kukimbia mbio kuwahi ndege baada ya kutumia muda wake vibaya na kwa mujibu wa taarifa toka Ikulu zinasema muda wa ndege ya Rais unapowadia basi huondoka bila kujali Rais yupo au hayupo kwa ajili ya usalama.
No comments:
Post a Comment