Pages

January 29, 2016

ABIRIA NA WAHUDUMU WA NDEGE YA MAREKANI WAUGUA HAFLA ANGANI


Hali ya kutoeleweka inaendelea kuibua maswali kwa nini wahudumu wa ndege na watu wengine saba waliugua wakati ndege ya Shirika la ndege la American Airlines ikiwa angani ikikatiza Atlantic kuelekea Los Angeles.
Wahudumu wapatao saba na abiria wawili akiwemo mtu mzima mmoja wa umri wa miaka 60 na mwingine wa miaka 40 inaaminika walijisikia kupoteza fahamu wakiwa washasafiri maili 1,600 kati ya safari ya maili 5,500.
Abiria waliochanganyikiwa kwa hofu walioamba wapate kutibiwa na madaktari ndipo rubani wa ndege ya shirika la American Airlines, kuamua kutua kwa dharura kwa kurejea Jijini London katika uwanja wa Haethrow

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...