Pages

December 12, 2015

WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA ANOGESHA KAMPENI ZA LALA SALAMA JIMBO LA ARUSHA MJINI.

Mgombea Ubunge wa tiketi ya ACT-Wazalendo jimbo la Arusha,Navio Megro Mollel akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika  kando ya soko la Kilombero kulia ni aliyekua mgombea urais wa chama hicho,Anna Mghwira.

Waziri mkuu mstaafu na aliyekua Mgombea urais wa Chadema,Edward Lowassa akimnadi mgombea Ubunge wa chama hicho jimbo la Arusha Mjini,Godbless Lema kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Ngarenaro.

Mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika  kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Ngarenaro,uchaguzi unafanyika kesho desemba 13.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...